Nahitaji mke wa kuanza nae maisha

Nahitaji mke wa kuanza nae maisha

Joined
Sep 15, 2016
Posts
29
Reaction score
5
Sifa zake, awe na miaka 18-22, awe mkristo, awe na heshima, awe msikivu na mwenye kupenda maendeleo. Sifa zangu nina miaka 26, ninajiheshimu, ni mkristo na ninadegree moja aliyetayari anicheck 07669711149
 
Kijana hebu tuelezeee umejiaandaa andaaaaaje kumchukua huyo bint wa 18-22.

Unagari?
Unanyumba?
Unamguu wa kuku?
 
matangaz madogo madogo ONYO: Usiweke links
za aina yoyote!
Uongozi wa JF
hautahusika kwa
namna yoyote kwa
mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa
na wanachama bila
kutushirikisha.
 
Humu sio mahala pake wengi wa wanawake waliomo humu hawana sifa ya kuwa mke.
Utakuja chukua kahaba liloshindikana, kumbuka hata wa wanaojiuza sinza wanatembelea humu.

All the best
Nafikiri muda mwingi huwa unawaza negative sana, humu kuna wake za watu kibao na wanaojiheshimu, labda ulitendwa sana mpaka umeathiriwa wewe si bure
 
18-22 mbona kama atakua mdogo sana uyo mke alafu atakusumbua na ujana

mim simooo!
 
unatafuta wakuanza nae maisha halafu utamaliza na yupi??
 
Katongoze bhanaa nani alikwambia kuna mke humu? Huko kanisani mnasali wanaume pekee au domo zege?
 
kabisa yaan atutake radhi
Ndiyo maana nikasema humu si mahala pake.
Shunie ww umeshaolewa na km haujaolewa basi una mtu wako sasa unataka mwanaume mwingine wa kazi gani? Ndiyo maana nikasema humu si mahala pake.
Kutafuta mke kwa njia hii ni hatari sana mkuu ni sawa na kuchagua nyama huku umefumba macho.
Mkuu ukimpata humu, nitumie kadi ya harusi nikuchangie kbsa.


Nimeandika wanawake wengi kwahiyo wale wanawake wachache kuwapa humu ni kazi na karibu wote wameshaolewa
 
Nafikiri muda mwingi huwa unawaza negative sana, humu kuna wake za watu kibao na wanaojiheshimu, labda ulitendwa sana mpaka umeathiriwa wewe si bure

Ndiyo maana nikasema humu siyo mahala pake km umeolewa au una mtu sasa huyo mwanaume mwingine wa kazi gani?

Hebu nithibitishe km nawaza negative ni wangapi waliotoa thread km hii na wamefanikiwa na wameoana?

Acha wale ambao baada ya kuzoeana humu wakatongozana na kuoana. Hapa nazungumzia walio toa thread km hii na wamefanikiwa.

Hakuna kazi ngumu km kuoa aise na mwanaume mwenye akili timamu huwa makini sana hapa lazima umpate atakayeendana na ww vinginevyo nyumba inageuka uwanja wa fujo
 
Duu mkuu!,humu Kuna wanawake wengi wana heshima zao,pia Kuna wake za watu humu,maelezo yako hayajakaa sawa.
Ndiyo maana nikasema humu siyo mahala pake pakutafutia mke.
Hao wanawake wengi walioalewa na wana heshima zao wanafaa kuolewa na huyu jamaa?
Kumbuka hawa tayari wameshaolewa ndiyo maana nikasema siyo mahala pake.

Kutafuta mke humu ni sawa na kuchagua nyanya huku umefumba macho.

Mkuu kuna wengi na wachache sasa inategemea umeegea upande gani.
Tatizo la vijana siku hizi wanachukulia suala la ndoa ni la kawaida sasa ndiyo maana ndoa nyingi kwa sasa zinavunjika.

Mkuu hebu niambie ni wangapi waliotoa thread km hizi na wamefanikiwa kuoana?

Hata mzazi wako akisikia unatafuta mke kwa njia hii atakushangaa sana


ANAWEZA KUWA NA SIFA KWAKO LKN KWA MWINGINE HAKAKOSA SIFA.
NI SAWA NA WW KUMUONA MZURI LKN KWA MWINGINE AKAONEKANA KINYUME
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom