Nahitaji mke wa 4

Nahitaji mke wa 4

mchungupwani

Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
13
Reaction score
2
Jamani mi natafuta mke wa 4 humu Jf awe mn'gavu mnene wa wastani mwenye umri usiozidi 30 awe Muislamu.
 
siamin kua wewe ni muislam ninachokiona umekuja kuuchafua uislam. katika uislam sifa za kumchagua mwanamke anayefaa tena kwa mtu anayeongeza mke sijaona kwenye vigezo ulivyoweka hata moja. muislam hakupewa frusa hiyo akapewa uhuru wa kuoa anavyotaka zina mashart yake. na ndio. maana wengi hawajaoa hao 4
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom