Andy Black
Member
- Jan 10, 2019
- 16
- 13
Wewe mtoto mzuri Habari za Zanzibar?Sifa namba 4 hapo tayari umeshakosa mke.
Sasa Fanya hivi kabla ya kutafuta mke hakikisha umepata kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa namba 4 hapo tayari umeshakosa mke.
Sasa Fanya hivi kabla ya kutafuta mke hakikisha umepata kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hawa watu wanataka ready made umekosea uliposema huna kazi. Jitahidi utafute chochote cha kufanya nina imani hata humu hutakuja kutafuta mtaani tu watakutosha.
Any way kila la kheri mungu ajalie hitaji la moyo wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke mwema mambo?
unaweza kua na kazi ukawa na mwanamke ukaoa ndani yamwezi kaz ukakosa ya Mungu ni mengi, kishasema ana uwezo wa kumhudumia mkewe
Sifa namba 4 hapo tayari umeshakosa mke.
Sasa Fanya hivi kabla ya kutafuta mke hakikisha umepata kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina hitaji mke wa kufanya maisha nae.
"Wale wanaoachana kwenye ndoa na wamekula kiapo kuwa wataishi kwenye shida na raha mpaka kifo kitakapo watenganisha lakini waliowengi wanaachana wakati wa shida na hakuna anayevumilia". Sasa hapo walikuwa wanamdanganya nani kati ya aliyewafungisha ndoa, wazazi au walezi au wao wenyewe kwa kuchagua aina ya shida!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee,unaweza kua na kazi ukawa na mwanamke ukaoa ndani yamwezi kaz ukakosa ya Mungu ni mengi, kishasema ana uwezo wa kumhudumia mkewe
Mkuu,Nina hitaji mke wa kufanya maisha nae.