Ok mkuu, ulipata kwa 40 au chini ya hpo?kuna mtu alinifata pm na kuniambia niende kkoo pale sokono upande wa atm ya either nmb or nbc ambapo kuna parking ya magari, pale kuna jamaa anauza mizani pale nje ya hilo soko na sio ndani ya soko
Nahitaji mizani yenye uwezo wa kupima 0 mpaka 10 kg na iwe na mhuri na stika kutoka kwa wakala wa vipimo.
Budget yangu ni 40,000(maongezi yanakaribishwa)
Mkuu punguza tufanye biashara faaaastaNipe 90,000/-, imegongwa na ina mawe yakeView attachment 908355
Chini ya hapo mzee baba, hapana. Mashine ni mpya kabisa haina dosariMkuu punguza tufanye biashara faaaasta
Uko wapiChini ya hapo mzee baba, hapana. Mashine ni mpya kabisa haina dosari