Mangandula Senior Member Joined Nov 30, 2011 Posts 184 Reaction score 38 Mar 12, 2013 #1 Wanajamii kwa anayejua Inakopatikana mitungi ya wino ya printer za Epson P50 anisaidie naiihitaji, Nisaidieni. Kuhusu fundi wa kuinstall ni mimi mwenyewe fundi.
Wanajamii kwa anayejua Inakopatikana mitungi ya wino ya printer za Epson P50 anisaidie naiihitaji, Nisaidieni. Kuhusu fundi wa kuinstall ni mimi mwenyewe fundi.
MIUNDOMBINU JF-Expert Member Joined Apr 14, 2010 Posts 466 Reaction score 101 Dec 24, 2013 #2 Mtungi ya epson P50 au T50 utapata kwa tsh 120000, pamoja na wino wake. Tupo kariakoo .dar. Tel 0766320252
Mtungi ya epson P50 au T50 utapata kwa tsh 120000, pamoja na wino wake. Tupo kariakoo .dar. Tel 0766320252
Mr good man Member Joined Feb 1, 2014 Posts 8 Reaction score 0 Feb 5, 2014 #3 MIUNDOMBINU said: Mtungi ya epson P50 au T50 utapata kwa tsh 120000, pamoja na wino wake. Tupo kariakoo .dar. Tel 0766320252 Click to expand... Kaka p50 au t50 nitapata kwa bei gani
MIUNDOMBINU said: Mtungi ya epson P50 au T50 utapata kwa tsh 120000, pamoja na wino wake. Tupo kariakoo .dar. Tel 0766320252 Click to expand... Kaka p50 au t50 nitapata kwa bei gani
MIUNDOMBINU JF-Expert Member Joined Apr 14, 2010 Posts 466 Reaction score 101 Feb 5, 2014 #4 Tsh 13000 complete with its ink.
L lugendosisty JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 219 Reaction score 103 Feb 6, 2014 #5 Hata hiyo inahitaji ufundi!