teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Projector nzuri kusema kweli Inataka budget kubwa.
Cha muhimu ni native resolution, iwe 720p ama zaidi, nyingi unakuta native resolution ni 360p, 480p ama hata 240p Sema tu projector ina project 1080p ama zaidi. Hivyo native resolution ikiwa ndogo kuliko projected ndio unaona quality nayo inakuwa ndogo.
Vyengine vya kuangalia ni lumens, jinsi gani mwanga ulivyo mkali, kama unatumia mchana zaidi ya lumens 3000 utahitaji.
Angalia distance ambayo projector inaweza.
Angalia ports,
Angalia software hasa hizo mini kuna zinazokuja na android TV.
Brand pia Angalia zinazoeleweka hata kama ni mchina tafuta aliechangamka kama Anker.
budget ya kiasi gani mkuu?Mkuu ni aina gani ungependekeza? ili nipate pa kuanzia
Kwa kazi za mchanaKwa kazi ya mchana au usiku
Sh ngapi ulinunua na specification zake zilikuwajeView attachment 1651622
Nilikurupuka kununua huu upuuzi, nikaishia kumpa mtoto kama zawadi ya birthday
jaribu Anker Nebula Capsule, sema mkuu una ulazima na hio mini? kama huna kwenye size kubwa unaweza pata quality nzuri zaidi.kama 600000 hivi
Kwa size kubwa kwa hiyo bei ya laki sita naipata projector ipi mkuujaribu Anker Nebula Capsule, sema mkuu una ulazima na hio mini? kama huna kwenye size kubwa unaweza pata quality nzuri zaidi.
Used EpsonKwa size kubwa kwa hiyo bei ya laki sita naipata projector ipi mkuu