weka hapa utapata kwa haraka zaidi. Na tatizo lako unataka kitu watu wanakutafutia halafu unasema upo bize utumiwe picha wakati upo hapa hapa Dar Es Salaam, kweli upo ilala mi nipo kariakoo nakuambia njoo uangalie imepatikana hapa unasema utumiwe picha.