nyumba nampoka
Member
- Jun 4, 2016
- 35
- 9
Habar zenyuuuu wadau shida nijuwe mkowa unaotengeneza mofuko ya viroba?
Weeeee.....ishia apo ivyo Mimi nataka kuitwa team wasiojulikana.shida angu nataka kupaki mazao ivyo naviitaji kwa wingiiiii........upoo??????Kwa hiyo wewe ndio unafungia maiti na kuzitupa Baharini?
HahahahahahaaaWeeeee.....ishia apo ivyo Mimi nataka kuitwa team wasiojulikana.shida angu nataka kupaki mazao ivyo naviitaji kwa wingiiiii........upoo??????


