Nahitaji mifi/mobile router

cyber ghost

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2015
Posts
239
Reaction score
162
Natafuta mobile router ambayo inauwezo wa 3G/4G nipo hapa dsm mwenye kufahamu duka ambalo naweza kupata naomba anijulishe kwasasa ninayo ile ya smile ila vifurushi vyake bei juu sasa natafuta ambayo ni universal
 
Pale samora karibu na duka la Sapna kwa mbele kidogo kama unaenda kwenye sanamu kuna duka la compyuta zipo za 3G kama 160,000.
 
google "brck" pia, a very robust mobile router, made specifically for Africa
 
Mkuu kwann usiunlock hyo ya smile ili iweze kutumia all network? Kuliko kuingia gharama tena??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…