Nahitaji maelezo ya kupata Media licence. Nahitaji ili niweze kugonga milango kwa urahisi zaidi na kupata interviews na kufanya public coverages bila kubughudhiwa. Zaidi eneo langu lipo kwenye internet-based media, hasa upande wa Video. Kuna mwenye maelezo anaweza kusaidia au kunielekeza wapi pa kwenda?
Natanguliza shukrani.