Nahitaji mchumba

Nahitaji mchumba

mwanairinga

Senior Member
Joined
Dec 21, 2015
Posts
179
Reaction score
12
Ni kijana wa kiume ninamiaka 32, nimeajiriwa hapa DSM nahitaji mchumba awe kati ya miaka 25-28, mweusi, mnene pia awe mkiristo na asiwe mrefu sana.

Karibu pm
 
Akikupm akawa na miaka 34 na anakuzidi kipato, utamchukua????
 
Aisee na mimi niweke tangazo nini, mbona matangazo yamekuwa mengi japo sijui mrejesho wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom