Nahitaji mchumba wa like alie college level

Nahitaji mchumba wa like alie college level

kwa uhandishi huo utawapata wasiojitambua tu
 
Kwa maelezo ya ilichokiandika utapata wa la saba mwenzako
 
Nipo tengeru nahitaji msichana ambaye yupo ready
Mbona hapo ulipo nimeziona NDITO kibao zinazopita kwenda gengeni, kisimani n.k. Kwa nini usiwaambie moja kwa moja kwamba unataka mpaka unaingia gharama za kuzungukia huku ambapo wao hawapitii njia hii.
 
Baba arusha yote umekosa demu hadi uje huku duuuuh nenda sakina,majengo,moromboo,matejoo,ngarenaro,usa river,fire, mosho nk ukukosa huko nenda viwanja hivi utapata wife material and material wife SAKINA BAR,,, ------ BAR,SHIVAZ,PICKNICK na babukubwa MRINA ANNEX na kuhusu college ni nying tuu chuga hapo nenda hizo sehemu katafute demu sawa mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom