Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 naelekea 27, kabila msukuma, dini mkiristo, elimu ya kawaida, kazi mjasiriamali.
Makazi kwa sasa niko kahama ila soon nitakuwa Dar. Mwanamke ninayemhitaji awe mwenye hekima dini yoyote na kabila lolote.
Kwa ambaye yuko serious karibu PM kwa kufahamiana zaidi.