selected
Member
- Aug 18, 2019
- 9
- 10
Utangulizi
Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 35 kwa sasa nahitaji Kuoa kwa sababu nimetosha kuwa na mke vile vile nimetosha kumudu majukumu ya kifamilia. kiuchumi, kifikra, kijamii nk.
Nimeleta hili tangazo hapa jukwaani kwa sababu ni meeting point kwa vijana wengi kama kuna msichana mwenye utayari wa kuolewa naomba tuwasiliane.
Sifa zangu.
Umri wangu ni 35, ni mkristo, nina afya njema kimwili na kiroho, sina mtoto, ni mjasiriamali pia nimeajiriwa katika mojawapo la shirika la umma hapa tz ninadigrii zaidi ya moja, I speak my mother tongue, Swahili, franch, and English language.
Sifa za mwanamke ninaemtafuta.
Umri from 26 to 34, awe na afya njema, awe na utayari wa kuolewa, awe tayari kuishi mkoa wowote kwa sababu nimekuwa nikihamishiwa mikoa mbali mbali kikazi, sibagui mwenye kazi au asie na kazi, awe na tabia njema, asiwe na mtoto, akiwa mkristo itapendeza zaidi, sibagui mwenye elimu au asie na elimu kinachotakiwa ni makubaliano
Mawasiliano
(a) pm
(b) email through the following address
selectedpoem19@gmail.com