Nahitaji Mbilimbi, Niko Dar

Sanjara Honey

Member
Jul 1, 2009
71
32
Wakuu Salaam,

Kwa yeyote mwenye mbilimbi mbichi kuanzia ndoo 2 kwenda mpaka 500 tuwasiliane kupitia 0713177372

Hapa Biashara Tu!

Picha ya Mbilimbi Mbichi
36438689-Averrhoa-bilimbi-a-k-a-Kamias-Cucumber-tree-Bilimbi-edible-and-medicinal-fruit-of-South-East-Asia-Stock-Photo.jpg
 
Hiyo achali yako unaweka nini ili isichache?
Unaweza kuweka mafuta ya kupikia ambayo umeyachomaa....unaweka ndani ya achali kama vile uonavyo achali za maembe wanawekaga mafuta

Ova
 
Wakuu Salaam,

Kwa yeyote mwenye mbilimbi mbichi kuanzia ndoo 2 kwenda mpaka 500 tuwasiliane kupitia 0713177372

Hapa Biashara Tu!

Picha ya Mbilimbi Mbichi
36438689-Averrhoa-bilimbi-a-k-a-Kamias-Cucumber-tree-Bilimbi-edible-and-medicinal-fruit-of-South-East-Asia-Stock-Photo.jpg
Weka offer yako boss tuingie chaka!!! Unanunua kwa ndoo ukubwa gani? Bei kwa ndoo sh ngapi???
 
Back
Top Bottom