Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Mie ni Certified Public Accountant (CPA) na nimesajili kampuni kwa ajili ya ushauri wa mambo ya biashara, na pia nimesajiliwa na TRA kama Tax Consultant. Kwa sasa nashughulikia leseni ya biashara ili kampuni ianze biashara rasmi, na tayari ninao wateja wawili.
Shida yangu ni kupata mbia mhasibu au mwenye uzoefu wa mambo ya kodi, na si lazima awe na CPA, ili nishirikiane naye. Kama mtu wa namna hii yupo na ana nia ya kujiajiri, naomba tuwasiliane kupitia namba 0784 953 558.