Nahitaji Mbegu ya muhogo aina ya kiroba Inahitajika

Nahitaji Mbegu ya muhogo aina ya kiroba Inahitajika

Mzalendowetu

Member
Joined
May 22, 2012
Posts
87
Reaction score
36
Ninahitaji mbegu ya mihogo aina ya kiroba. Shamba langu lipo Kibaha Soga. Mwenye taarifa ya upatikanaji wa mbegu hii naomba anifahamishe au anipatie mawasiliano ya muhusika.
Natanguliza shukrani zangu
 
Kweli mvua za vuli zimeanza,wakulima tukapande sasa. Mkuu ukipata mbegu unishtue tafadhali,nami nahitaji.
 
Back
Top Bottom