NAHITAJI MBAO IRINGA AU NJOMBE

NAHITAJI MBAO IRINGA AU NJOMBE

Weka taarifa muhimu kabla hujapigiwa! utuambie unataka mbao za aina gani! Pine au mlingoti, treated au untreated, size gani! mfano two by four, two by six, one eight, one ten, nk. zenye urefu wa futi 12 au 18, unahitaji kiasi gani, usafiri unajitegemea mwenyewe au ni wa yule utakayefanya naye kazi, nk.
 
Maelekezo yako nimeyapenda bure[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom