Nahitaji mayai ya kisasa maeneo ya Dar au Pwani

Nahitaji mayai ya kisasa maeneo ya Dar au Pwani

don wizzy

Member
Joined
Aug 28, 2018
Posts
9
Reaction score
18
Nahitaji mayai ya kisasa trey 100 kutoka kwa mfugaji direct, mfugaji uwe wa maeneo ya Dar au Pwani, bei maelewano.

Note: Biashara ni endelevu
Call: 0783147529
WhatsApp: 0783147529

ASANTENI
 
Nahitaji mayai ya kisasa trey 100 kutoka kwa mfugaji direct, mfugaji uwe wa maeneo ya Dar au Pwani, bei maelewano.

Note: Biashara ni endelevu
Call: 0783147529
WhatsApp: 0783147529

ASANTENI
Utasumbuka sana kumtafuta mkulima humu ndani wewe acha tukuuzie tray 7500 kwa sasa
 
Back
Top Bottom