Wewe ulivaa track suit? Hebu mwambie mwenzako bwanaHarusi ni zaidi ya Mavazi Mkùu...!
Vaeni hata nguo za michezo (Traksuit) kitakacho fuata baada ya hapo, ni maisha yenu nyinyi wawili ...
Karibu kwenye Chama cha Uanaume halisi...just relax..
Harusi ni zaidi ya Mavazi Mkùu...!
Vaeni hata nguo za michezo (Traksuit) kitakacho fuata baada ya hapo, ni maisha yenu nyinyi wawili ...
Karibu kwenye Chama cha Uanaume halisi...just relax..
Mie nimeomba kujua mahali wanakouza mavazi hayo kwa bei ya wastani kulingana na kamfuko kangu na hasa ukizingatia namna mkuu wa kaya alivyokaza vyuma....nasubiri kupata msaada kutoka kwa wadau wenye uzoefu katika eneo hili.Wewe ulivaa track suit? Hebu mwambie mwenzako bwana
Umegusa moyo wangu mkuu.Nawasalimu wakuu kama mada inavyojieleza hapo juu, natarajia kufunga ndoa mwezi November mwaka huu naomba msaada wa kujua maduka ninayoweza kupata suti, shela na viatu kwa bei ya chini bajeti yangu ni:
Suti ni 120,000/=
Viatu 40,000/=
Shela ya bibi harusi 150,000/=
Kama yupo anayefahamu ninakoweza kupata vitu hivyo naomba msaada plz. It's serious wakuu
Barikiwa kwa mwongozo wako...nadhani baada ya majibu ya duka nililoelekezwa pale Kamata naweza kuleta mrejesho hiyo keshoHabari yako mkuu.
Mwezi uliopita kwa neema za Mungu nilibahatika kufunga ndoa. Nikutie moyo, ndoa sio garama kubwa kama watu wanavyodhani.
Gharama kwa ajili ya mavazi nilizotumia:
Kiatu changu: 20,000/=
Kiatu cha mwenzi wangu: 25,000/=
Suti yangu nilishonesha kwa gharama ya 60,000/=
Shella la mwenzi wangu niliagiza toka aliexpress, asikwambie mtu, Tz hiyo nguo ni bei ngumu sana, lakini hadi inafika tz ilinigharimu tsh. 165,000/= of which kwa tz inauzwa 480,000/= na ilichukua siku 9 tu hadi kufika mikononi mwangu.
Kwa maelezo zaidi waweza niuliza hapa.
Poa ngoja nicheki namba zake nikutumie wana suti nzuri sana afu bei ya kawaidaAsante sana dada...Kesho nitaenda kufuatulia hapo Kamata...
Ila hapo ni suti tu hawana shelaBarikiwa kwa mwongozo wako...nadhani baada ya majibu ya duka nililoelekezwa pale Kamata naweza kuleta mrejesho hiyo kesho
Mkuu kwema??Habari yako mkuu.
Mwezi uliopita kwa neema za Mungu nilibahatika kufunga ndoa. Nikutie moyo, ndoa sio garama kubwa kama watu wanavyodhani.
Gharama kwa ajili ya mavazi nilizotumia:
Kiatu changu: 20,000/=
Kiatu cha mwenzi wangu: 25,000/=
Suti yangu nilishonesha kwa gharama ya 60,000/=
Shella la mwenzi wangu niliagiza toka aliexpress, asikwambie mtu, Tz hiyo nguo ni bei ngumu sana, lakini hadi inafika tz ilinigharimu tsh. 165,000/= of which kwa tz inauzwa 480,000/= na ilichukua siku 9 tu hadi kufika mikononi mwangu.
Kwa maelezo zaidi waweza niuliza hapa.
Mkuu kwema??
Hiyo suti uliyoshonesha unaweza kutuwekea hapa kapicha kake tuione aisee??
nshakutumiaSawa tu...nadhani bafo sio mbaya. Muhimu ni kupata vjtu hivyo....pengine atakuja pia mtu anayefaham mahali ninakoweza kuipata hiyo shela. Naomba uni-pm namba yake kama hutojali
Mkuu kwema??
Hiyo suti uliyoshonesha unaweza kutuwekea hapa kapicha kake tuione aisee??
Safi Mkuu,