Rogart Ngaillo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 933
- 1,971
Kuna sehemu zinahitajikaUmeona mbaali sana kuwa soon kutoka na janga la Corona zitaadimika, umeamua kuweka stock sio!
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ungenisaidia kuniwekea ulizonazo ili nipate uwanja mpana wa uchaguzi mkuu!Weka sample unazotaka.
Hahaa.....Zikihitajika alafu ww una stock ya kutosha utapewa kesi ya uhujumu uchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Eleza mahitaji yako ziko mask za karatasi na zile za plastic mbele zinakitambaa ww unataka zipi au huelewi hitaji lako lilivyo una bahatishaa ??Kama bango linavyojieleza, piece 100,000 za mask zinazoziba pua na mdomo zinahitajika haraka. Kama unazo nicheki PM biashara ifanyike.
Niko Dar es salaam
Zilisafirishwa zile....Kuna dogo yuko China alizihitaji😷Haya wapi hizo mask....Ndo wakati wa kufukua makaburi sahivi
Yap...unazo nyingine mkuu?
Yap...unazo nyingine mkuu?
Deal Done mkuu....Kuna dalili ya mtu kupigwa hapa
Huko ndo zilihitajika mkuu...Nenda kachukue China!