Nna S4 imekufa mashine na fundi kanambia haiwez pona ila screen na vitu vingne vyote vizima, so km kuna mtu ana s4 ilokufa kioo aniuzie mashine au km kuna mtu anataka kioo cha s4 nimuuzie mm