Emmanuel Msule Member Joined Jun 6, 2016 Posts 5 Reaction score 1 Jun 9, 2016 #1 Mambo vipi wadau Naomba msaada wenu kwa yeyote anayefahamu jinsi ya upatikanaji wa mashine ya maxmalipo anisaidie. Au kama kuna mtu anaiuza anitafute kwa namba 0712353346
Mambo vipi wadau Naomba msaada wenu kwa yeyote anayefahamu jinsi ya upatikanaji wa mashine ya maxmalipo anisaidie. Au kama kuna mtu anaiuza anitafute kwa namba 0712353346
msemakweli2 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 1,627 Reaction score 1,886 Jun 9, 2016 #2 acha kupenda vitu vya mkato nenda millenium tower wanaziuza kwa laki sita tu unapata mpya Emmanuel Msule said: Mambo vipi wadau Naomba msaada wenu kwa yeyote anayefahamu jinsi ya upatikanaji wa mashine ya maxmalipo anisaidie. Au kama kuna mtu anaiuza anitafute kwa namba 0712353346[/QUOTE Click to expand...
acha kupenda vitu vya mkato nenda millenium tower wanaziuza kwa laki sita tu unapata mpya Emmanuel Msule said: Mambo vipi wadau Naomba msaada wenu kwa yeyote anayefahamu jinsi ya upatikanaji wa mashine ya maxmalipo anisaidie. Au kama kuna mtu anaiuza anitafute kwa namba 0712353346[/QUOTE Click to expand...
Emmanuel Msule Member Joined Jun 6, 2016 Posts 5 Reaction score 1 Jun 9, 2016 Thread starter #3 msemakweli2 said: acha kupenda vitu vya mkato nenda millenium tower wanaziuza kwa laki sita tu unapata mpya Click to expand... Asante kwa ushauri wako mkuu. Huchukuwa muda gani mpaka kupatikana?
msemakweli2 said: acha kupenda vitu vya mkato nenda millenium tower wanaziuza kwa laki sita tu unapata mpya Click to expand... Asante kwa ushauri wako mkuu. Huchukuwa muda gani mpaka kupatikana?
Nommy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2015 Posts 448 Reaction score 27 Jun 9, 2016 #4 mimi ninayo selcome mashine ya kisasa