Healthy wealthy
Senior Member
- Nov 19, 2016
- 127
- 104
Asante mkuuMpigie huyu jamaa 0767 235923 anaitwa Abel... amefunga mashine ya kuzalisha chaki
Ukipata mkuu niPM mi mwenyewe natafuta malighafiHabari zenu wakuu.
Naweza kupata wapi mashine ya kutengeneza chaki na designer wa vifungashio yaani mabox ambayo ni printed tayari.
Nawakilisha.