minja mgumu
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 206
- 316
Hekima mkuu nijambo jemaKwani hakuna kinu na mchi.?
Safi sana mdau + mind kama atapatikana itakuwa vyemaMama Anne Kilango ni mdau sana wa haya masuala ya kilimo cha tangawizi na mnyororo wake mzima wa thamani, kama tungekua na access nae bila shaka angetusaidia au kama yupo humu anaweza akatiririka hapa. Kila la heri mkuu, kwa sasa sina mchango wenye mashiko juu ya hitaji lako, tuwasubiri wadau wengine.
Kama umesha ziona mkuu embu tupia picha tuzione wengi wengine wakiona watapata wazo jipya ili nijukwaa la watafiti na wasomi watatusaidia zaidiWaone Sido wanazo..
Kama zipi mdauSina hakika lakini nadhani kuna aina flani ya hizi hizi blenda zinaweza kufanya hiyo kazi.
P 1 mkuuNgoja waje Mzee baba
We nenda dukani ulizia blenda za kusagia vitu vigumu. Hata humu kuna mdau niliona anazo nadhani zinaweza kufanya hiyo kazi.Kama zipi mdau
Mkuu,,nimevutiwa na hili,,capacity yake ipoje??inasaga viungo pia?tunaomba picha yake kama hutojaliNunua Brenda za kusagia vitu vigumu, ,mi nimeagiza juzi toka zenji kwa Tsh. 110,000.....ni used
Mi huwa nasagia juice ya karot na juice ya matango,,,, na tangawizi pia nasagia mara chache ,,,,picha mkuu nipo mbali na home,,,,Mkuu,,nimevutiwa na hili,,capacity yake ipoje??inasaga viungo pia?tunaomba picha yake kama hutojali
Uko sawa mdau naninakuelewa sna pia ukubwa wake unaweza kuchukuwa kama kilo ngapi?kwa pamoja,na spea zake zinapatikana kwa urahisi kama motor yake,brash,na vinginevyo.pia shukrani sna kwa idea yakoNunua Brenda za kusagia vitu vigumu, ,mi nimeagiza juzi toka zenji kwa Tsh. 110,000.....ni used
Mkuu shukrani sna ndo maana nasema kila cku jf kilakitu utapata kunavitu nilikuwa natafuta pia nimevipata hapa [emoji112]We nenda dukani ulizia blenda za kusagia vitu vigumu. Hata humu kuna mdau niliona anazo nadhani zinaweza kufanya hiyo kazi.
Ila sijajua unataka kusaga kiasi gani kwa siku. Huwenda isiwe labda na ufanisi kutokana na kiasi unachotaka kutoa kwa mkupuo.
Ingia hapahttps ://https-www-jamiiforums-com.0.freebasics.com/threads/jipatie-bidhaa-zetu-kwa-bei-nafuu-tupo-kariakoo.1246656/unread?iorg_service_id_internal=925946837445621%3BAfoDzFjPemNXcboi jaribu kumuuliza kama unaweza kupata hiyo mashine.
https://https-www-jamiiforums-com.0..._id_internal=925946837445621;AfoDzFjPemNXcboi
Uko sawa mdau naninakuelewa sna pia ukubwa wake unaweza kuchukuwa kama kilo ngapi?kwa pamoja,na spea zake zinapatikana kwa urahisi kama motor yake,brash,na vinginevyo.pia shukrani sna kwa idea yako
Duuh!,analazimisha sna,ila sendoro bango hiloukiwa na blenda 4 ni kiwanda