stan john Member Joined Feb 17, 2022 Posts 86 Reaction score 92 May 31, 2026 #1 Habari, Nahitaji machine ya kukunia nazi kwa ajiri ya biashara ya genge, Nipo Dar ,mabibo Naomba kujua wapi nitapata na Bei yake , Asante
Habari, Nahitaji machine ya kukunia nazi kwa ajiri ya biashara ya genge, Nipo Dar ,mabibo Naomba kujua wapi nitapata na Bei yake , Asante
J jackobo kimweri Member Joined Feb 15, 2026 Posts 13 Reaction score 17 May 31, 2026 #2 stan john said: Habari, Nahitaji machine ya kukunia nazi kwa ajiri ya biashara ya genge, Nipo dar ,mabibo Naomba kujua wapi nitapata na Bei yake , Asante Click to expand... Zinapatikqna sehemu nyingi kwa dar hii,ukikosa huko njoo kinondoni studio zipo nyingi
stan john said: Habari, Nahitaji machine ya kukunia nazi kwa ajiri ya biashara ya genge, Nipo dar ,mabibo Naomba kujua wapi nitapata na Bei yake , Asante Click to expand... Zinapatikqna sehemu nyingi kwa dar hii,ukikosa huko njoo kinondoni studio zipo nyingi
Medecin Platinum Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,826 Reaction score 24,324 May 31, 2026 #3 Nenda gerezani utapata
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,495 Reaction score 104,253 May 31, 2026 #4 Hongera mkuu.Kweli bi.Ashura aka biashara ni nyingi sana.Utapata.
Barakoa 001 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 5,436 Reaction score 14,925 May 31, 2026 #5 Medecin said: Nenda gerezani utapata Click to expand... Kwani gerezani wanakula wali nazi?
Medecin Platinum Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,826 Reaction score 24,324 May 31, 2026 #6 Mnyenz said: Kwani gerezani wanakula wali nazi? Click to expand... Haaa haaa mkuu, namaanisha aende kariakoo kule gerezani wanapotengeneza metal work atapata.
Mnyenz said: Kwani gerezani wanakula wali nazi? Click to expand... Haaa haaa mkuu, namaanisha aende kariakoo kule gerezani wanapotengeneza metal work atapata.
stan john Member Joined Feb 17, 2022 Posts 86 Reaction score 92 May 31, 2026 Thread starter #7 Medecin said: Haaa haaa mkuu, namaanisha aende kariakoo kule gerezani wanapotengeneza metal work atapata. Click to expand... Sh ngapi wanauza?
Medecin said: Haaa haaa mkuu, namaanisha aende kariakoo kule gerezani wanapotengeneza metal work atapata. Click to expand... Sh ngapi wanauza?
Fundi Rahisi Member Joined Jun 2, 2026 Posts 5 Reaction score 10 Jun 2, 2026 #8 Nina shaka utaweza kupata moja mahali popote; rafiki yangu aliweza tu kupata mashine nzuri ya kusafisha nazi nchini China.
Nina shaka utaweza kupata moja mahali popote; rafiki yangu aliweza tu kupata mashine nzuri ya kusafisha nazi nchini China.