Pung'o boy JF-Expert Member Joined Aug 1, 2013 Posts 685 Reaction score 305 Feb 20, 2015 #1 Wakuu eti mashine ya kukamulia mafuta ya alizetii bei ya chini kabisaa naweza pata kwa bei gani na uwezo wake wa ufanyaji kazi...kwa saa inakamua lita ngapi?
Wakuu eti mashine ya kukamulia mafuta ya alizetii bei ya chini kabisaa naweza pata kwa bei gani na uwezo wake wa ufanyaji kazi...kwa saa inakamua lita ngapi?
Majimoto Senior Member Joined Nov 22, 2007 Posts 138 Reaction score 148 Feb 20, 2015 #2 Mashine ya kati shilingi milioni sita, inakamua tani 4 za mbegu kwa siku