M mymy JF-Expert Member Joined Dec 22, 2011 Posts 296 Reaction score 112 Dec 26, 2018 #1 Habari wapendwa. Niliwahi kuulizia kuhusu mifuko ya kufungia nafaka kilo 2 na kilo 5. Nilielekezwa humu na baadhi yenu nimepata. Sasa naulizia mashine ya kufungia mifuko hiyo naweza kupata wapi? Picha ya mifuko hiyo nmeambatanisha.... Attachments IMG-20181225-WA0029~2.jpeg 19.1 KB · Views: 39 IMG-20181225-WA0029~2.jpeg 19.1 KB · Views: 39
Habari wapendwa. Niliwahi kuulizia kuhusu mifuko ya kufungia nafaka kilo 2 na kilo 5. Nilielekezwa humu na baadhi yenu nimepata. Sasa naulizia mashine ya kufungia mifuko hiyo naweza kupata wapi? Picha ya mifuko hiyo nmeambatanisha....
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,534 Dec 26, 2018 #2 Tumia koroboi
dodomao Member Joined May 22, 2017 Posts 58 Reaction score 76 Dec 26, 2018 #3 Tuwasiliane mimi naziuza