Nahitaji mashine ya kufulia nguo mpya au iliyotumika

Auto inafanya kila kitu wewe unaweka Nguo na Sabuni halafu unaiset inategemea aina ya nguo pale juu itakuonyesha kama Nguo nyepesi bonyeza hapa Kama nzito bonyeza hapa, yenyewe mashine itaingiza maji baada ya wewe kuiwasha itafua itasuuza utakausha itapiga alarm unaenda kuchukua Nguo zako zinakuwa 90% zimekauka hiyo 10% unamalizia kwenye jua, manual sijawahi kutumia

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usinichoke kwa maswali . jeans,mashuka,mapazia inaweza kufua? Na unaweza kuweka jeans ngapi au mashuka ya cotton 6x6 ?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usinichoke kwa maswali . jeans,mashuka,mapazia inaweza kufua? Na unaweza kuweka jeans ngapi au mashuka ya cotton 6x6 ?




Sent using Jamii Forums mobile app
Inafua kila kitu ni washing machine Kama nyingine Mimi mashuka yangu ni 8x8 naweka matatu yaani shuka moja shuka la pili na la tatu kwa uwezo wake inakuwa inatosha maana yakilowa yanakuwa mazito, jeans naweka 4 na Kwa kuwa sina mvaaji sana wa hizo, pazia pia zinategemea na ukubwa hizi zangu naweka tatu kwanza zikitoka naweka tatu mpaka namaliza za nyumba nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom