Nahitaji mashine ya kuchanganya juice

Nahitaji mashine ya kuchanganya juice

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,312
Heshima kwenu.
kama kuna mtu ajua zipouzwa zile mashine za kumix juice tafadhali anisaidie
 
Fanya uje Dar.
Maana zipo za size tofauti.
Kuanzai a Liters na ulaji wa umeme.

Kwa bei ya laki 8 mmhh?hii lazima iwe machine kubwa
 
Samahani nidandie hapa, Umeme wa Solar unaweza kuendesha izi mashine?
 
shukrani kwenu wakuu
hapa mwanza Dubai bazaar wanauza 2,050,000mpya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom