Una hofu ya ngoma au mimba?Nahitaji masada wakuu wapi na weza pata huduma ya PEP
Kipindi hiki cha sikuu maana nimetembelea hospital kadhaa hapa mjini dar , meambiwa huduma mpaka jumatatu , nikipiga hesabu kwa rafu niliyocheza mpaka Juma tatu masaa 72 yatakua yameshakwisha .
Rafu nilicheza usiku Wa kuamakia Jana alhamis na masaa 72 yanaisha kesho jumamosi usiku.
Nahitaji msaada waungwana
Ngoma mkuuUna hofu ya ngoma au mimba?
Mi nilijua ni kisukari au kansa ya Ini ndy utajibu unaogopa.Ngoma mkuu
Kama huna msaada mkuu , pita kimya kimya, hakuna kinachoharibikaMi nilijua ni kisukari au kansa ya Ini ndy utajibu unaogopa.
Sasa unaogopa ngoma? Hivi wanaume wa dar mnakwama wapi?
Mungu anakuona .....😂😂Una hofu ya ngoma au mimba?
Tatizo chips....😂😂😂Mi nilijua ni kisukari au kansa ya Ini ndy utajibu unaogopa.
Sasa unaogopa ngoma? Hivi wanaume wa dar mnakwama wapi?
Misina msaada mkuu, ila pole maana tunakaribia kupoteza nguvu ya taifa...😪Kama huna msaada mkuu , pita kimya kimya, hakuna kinachoharibika
What if ukianzisha tu bendi...🤔🤔Ngoma mkuu
Hiyo lazima uende na PF3 ndiyo upatiwe matibabu .maana ni kwa wale waliobakwa tuu,si kwa waliocheza rafu hao walikuwa wanajua wanachofanyaNahitaji masada wakuu wapi na weza pata huduma ya PEP
Kipindi hiki cha sikuu maana nimetembelea hospital kadhaa hapa mjini dar , meambiwa huduma mpaka jumatatu , nikipiga hesabu kwa rafu niliyocheza mpaka Juma tatu masaa 72 yatakua yameshakwisha .
Rafu nilicheza usiku Wa kuamakia Jana alhamis na masaa 72 yanaisha kesho jumamosi usiku.
Nahitaji msaada waungwana
Mkuu mbona sijakuona kule kwenye Kulana kimasikhara?? Maana piga ya hiyo lazima ilikuwa kkmasikhara.Nahitaji masada wakuu wapi na weza pata huduma ya PEP
Kipindi hiki cha sikuu maana nimetembelea hospital kadhaa hapa mjini dar , meambiwa huduma mpaka jumatatu , nikipiga hesabu kwa rafu niliyocheza mpaka Juma tatu masaa 72 yatakua yameshakwisha..
Sio poa unapoleta utani wakati mwenzio ana stress za hatari. Ameshasema: kama huna msaada pita kama unanyata vile.....Misina msaada mkuu, ila pole maana tunakaribia kupoteza nguvu ya taifa...[emoji25]
Mrejesho niaje PEP zilikusaidia?Du pole sana ndugu, nenda hospital yoyote ya private/government kubwa kiasi, tafuta doctor kata mpunga utapata hiyo huduma, vinginevyo mpaka j3, na pia j3 mpaka ujieleze sana ueleweke na mpunga upo palepale( kumbuka PEP is for emergency)...
Sana, ukishakutwa negative na uka attend PEP with 24hrs matokeo huwa uhakika chance 90% success, ila within 72 hrs hata kama vipimo negative, kama uliambukizwa chance ni 50%/50%. alisema doctor sio mimiMrejesho niaje PEP zilikusaidia?