ninavyoijua JF hakuna muda ukiingia ukakosa uzi wowote au ukatoa uzi usishambuliwe... marafiki tupo wengi tu ww weka bando tuchat zaid na zaidi....!!!!
Yaani watu mnamambo humu...sasa we unayesema kuna kitu naficha, kipi??? Nashukuru wote mlionipa ushirikiano sio mda wote mtu atakuwa online pia kuna kazi nyingine za kufanya wapenzi....ila nashukuru kupata marafiki wa kuchat...