Nahitaji marafiki

Nahitaji marafiki

nipaely

Member
Joined
Jun 6, 2015
Posts
11
Reaction score
3
Hey wapendwa,

Nahitaji marafiki wa kuchart na kubadilishana mawazo. Pia napenda kujifunza mengi kupitia watu mbalimbali sibagui dini.
jinsia wala kabila.
 
hakuna noma.. marafiki wote humu jf na kuchat24hrs
wewe weka mawazo ya kubadilishana hapa tuchat wengine watakuja wenyeweee
 
ninavyoijua JF hakuna muda ukiingia ukakosa uzi wowote au ukatoa uzi usishambuliwe... marafiki tupo wengi tu ww weka bando tuchat zaid na zaidi....!!!!
 
Umetupata...sema jingine kama unalo

wee Valentina ni mkarimu sana, mpaka nimekupenda. Kwamba anachotaka ameshakipata, yee aseme lingine kama analo, safi sana. Mungu akubariki sana.
 
Last edited by a moderator:
Yaani watu mnamambo humu...sasa we unayesema kuna kitu naficha, kipi??? Nashukuru wote mlionipa ushirikiano sio mda wote mtu atakuwa online pia kuna kazi nyingine za kufanya wapenzi....ila nashukuru kupata marafiki wa kuchat...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom