Nahitaji marafiki wakuchat

Nahitaji marafiki wakuchat

fellinjohn7

Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
65
Reaction score
39
Naitaj marafiki wa kike awe mwanamke binti au yeyote ila jinsia ya kike nahitaji kuchat.

Kama uko tayari my contact z +255-756-763448 nipo whatsapp
 
Acha bange! Mtaani kwenu koote umekosa mademu hadi uibukie huku jf. Tafadhali nenda fbook. Huku watu wako serious na issues za msingi
 
awe mwanamke binti au yeyote ila jinsia ya kike ....banange ni shiderrrrrrrrrrrrr b ado sijaelewa. fellinjohn7
 
Last edited by a moderator:
Awe mwanamke binti au yeyote mwenye jinsia ya kike ......sijaelewa
 
Aiseee ni sheedah kijana nenda kuleeee facbook,
 
naitaj marafk wa kike
...awe mwanamke binti au yeyote ila jinsia ya kike naitaj kuchat....kama
uko tayar my contact z +255-756-763448 nipo whatsapp.......

kyecho kakati banangee zino bangiii. ekyi kyandema imanya. anyway nenda you tube kuna dedication yako inaitwa GRADE by sister charity.gud day.
 
Naitaj marafiki wa kike awe mwanamke binti au yeyote ila jinsia ya kike nahitaji kuchat.

Kama uko tayari my contact z +255-756-763448 nipo whatsapp
Viroba vya kunywea uvunguni hivyo, acha Mara moja
 
Acha bange! Mtaani kwenu koote umekosa mademu hadi uibukie huku jf. Tafadhali nenda fbook. Huku watu wako serious na issues za msingi

kwani mkuu hili jukwaa linahusu nn? Na yeye ame post nn? na kwann unamwambia aache bangi? Alafu tunaomba utufafanulie huu msemo wako "Huku watu wako serious na issues za msingi" hzo issue za misngi kwenye hili jukwaa la Mahusiano ya mapenzi na urafiki > ndo zipi? 7bu mm cjakuelewa ujue!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom