Mparee2 JF-Expert Member Joined Sep 2, 2012 Posts 3,290 Reaction score 5,769 Sep 29, 2015 #1 Wandugu, Naishi Boma N'gombe - Moshi na nahitaji marafiki wa kike tajwa hapo juu kutoka sehemu yoyote TANZANIA Sifa; Awe anapenda kuchat (ila sio addicted) Hata akiwa na mtoto sio shida Awe anajiheshimu Akiwa Mjasiriamali au muajiriwa ni vizuri zaidi ili tubadilishane mbinu za biashara Mimi ni kijana wa kiume umri wa miaka 41 na najitegemea Unaweza kuni pm na namba ya simu nitatoa kwa muhusika
Wandugu, Naishi Boma N'gombe - Moshi na nahitaji marafiki wa kike tajwa hapo juu kutoka sehemu yoyote TANZANIA Sifa; Awe anapenda kuchat (ila sio addicted) Hata akiwa na mtoto sio shida Awe anajiheshimu Akiwa Mjasiriamali au muajiriwa ni vizuri zaidi ili tubadilishane mbinu za biashara Mimi ni kijana wa kiume umri wa miaka 41 na najitegemea Unaweza kuni pm na namba ya simu nitatoa kwa muhusika
N ndalikane bigambo Member Joined Jul 11, 2015 Posts 94 Reaction score 21 Sep 29, 2015 #2 Nipo mie ninamika 32 na mtoto 1niko tiali hata leo