songea sehemu gani
yanakopatikana?litapwasi,peramiho,namatuhi,mpitimbi,madaba,mlilayoyo,hanga,ngadinda,mtyangimbole,shule
ya tanga,mletele?au
kunyumbani kwetu kwenyuko.!au bombambili,lizaboni,kule kwa mchaka(misufini),ruvuma.,na maeneo mengne hapo town?ngwinde je?
Nivea, Nipo dar, ila nahitaji kwenda kuyatumia tabora, hivyo itakuwa vema kama nitayapata karibu na eneo angalau mkoa unaopakana, mfano mbeya kama alivyosema mdau mmoja kuwa, pale kiwila mbeya nitayapata.
Haujaweka mawasiliano yako Mkuu, unahitaji kiasi flani mara moja tu au una project endelevu, unahitaji supply ya kiasi gani kwa wiki? Tuwasiliane Mkuu.
Haujaweka mawasiliano yako Mkuu, unahitaji kiasi flani mara moja tu au una project endelevu, unahitaji supply ya kiasi gani kwa wiki? Tuwasiliane Mkuu.