Bauntu asukile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2020
- 324
- 447
Utatumia kufanyia nini labda,, njoo nikupe ninayo mengi...Naam Naam Wana Board
Husika na Kichwa Cha Habari Hapo Juu
Matumizi ya makaa ya mawe yamefanyiwa utafiti na kuonesha yanafaa kwa matumizi ya nyumbani na hayana moshi na huwaka kwa muda mrefu zaidi ya mkaa wa kawaida
Naomba Kujua Kwa Hapa Iijini Dar Nayapataje ?? Bei Zake na Mahala Yanapo patikana ?? Changamoto katika vyombo ya kupikia na mengine ni zipi katika kuyatumia ??
Regards