Nahitaji Maharage ya njano mengi

Nahitaji Maharage ya njano mengi

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
2,733
Reaction score
2,016
Habari wana jamvi?wakuu ni wapi naweza kununua kwa wingi maharage ya njano kwa bei ya jumla kutoka shambani?
Mwenye information kutoka shamba naomba anipatie.
 
Habari wana jamvi?wakuu ni wapi naweza kununua kwa wingi maharage ya njano kwa bei ya jumla kutoka shambani?
Mwenye information kutoka shamba naomba anipatie.
mi mkulima nimeyavuna mengi sana tu, hela yako mkuu
19748351_10209762933534594_8727810812853438271_n.jpg
19756618_10209762932814576_6955775697206827368_n.jpg
19601067_10209712574395647_5999627144315039361_n.jpg
 
Salama mkuu,wewe uko wapi?na unauzaje kwa kilo mkuu?
 
ah au nikutumishie ya kula kwanza ili upate ladha ya beans yenyewe hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom