mkuu kayo ni mafuta kama mengine sema yametokea ukubalika sana na ni adimu ila wengine hutumia kupikia vyakula, japo wengi huamini ni mafuta yalio na viini lishe vingi na yanafaa kukaangia vyakula maana hayaleti free radicals kama mafuta ya mimea mingine, ni kama vile mafuta ya nazi yakubalikavyo kutokana na umahiri wake katika mapishi na shughuli nyingine lukuki