Nahitaji Mabelo ya shuka za Mtumba

Nahitaji Mabelo ya shuka za Mtumba

nainai1

Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Habari,
Samahani kwa ambaye anafahamu mahala ambapo wanauza mabelo ya shuka za mtumba za ukweli grade A,Tafadhari anijulishe yawe ni mashuka mazuri na makubwa.Napatikana Morogoro ila nipo tayari kuyafuata popote Tanzania.
 
Back
Top Bottom