Bitcoinbase
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 319
- 285
ipo mwanza piaAmbaye yupo serious cheki inbox, na bei yenye uhalisia SIO unapanga kukomoa mtu.
Nicheki inboxipo mwanza pia
Inachukua mda gan kupata lain yako ya mpesa toka vodashop!??Mi ninayo ndo nimechukua mwezi uliopita kwa ushauri wangu ungechukua tu ya kwako ingekuwa powa zaidi.
Tafuta
TIN
Leseni ya biashara
Kopi ya kitambulisho
15000 ya mhuri wa mwanasheria pamoja
Na picha tatu za passport.
nipigie simu 0713580844Inachukua mda gan kupata lain yako ya mpesa toka vodashop!??
Hivyo vyote Sina bestMi ninayo ndo nimechukua mwezi uliopita kwa ushauri wangu ungechukua tu ya kwako ingekuwa powa zaidi.
Tafuta
TIN
Leseni ya biashara
Kopi ya kitambulisho
15000 ya mhuri wa mwanasheria pamoja
Na picha tatu za passport.
Wiki 4Inachukua mda gan kupata lain yako ya mpesa toka vodashop!??