Nahitaji line ya tigo wakala

Glas

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
1,242
Reaction score
1,188
Wanabodi...habari Za mchana. Nahitaji line ya Tgo Pesa. Budget yangu ni 120000/=. Aliye Tayari ani PM
 
nenda office yoyote ya tigo hizo line zinatolewa bure, haziuzwi.

atakayekuuzia itakuwa na jina lake anytime atareport imepotea then ata-renew utabaki na line isiyofanya kazi na hautaweza kureport popote kwasababu haijasajiliwa kwa jina lako.
 
tatizo mchakato ni mrefu sana kuipata
 
nenda office yoyote ya tigo hizo line zinatolewa bure, haziuzwi.

atakayekuuzia itakuwa na jina lake anytime atareport imepotea then ata-renew utabaki na line isiyofanya kazi na hautaweza kureport popote kwasababu haijasajiliwa kwa jina lako.
Asante kiongoz kwa ushauri...ntafanya hvyo
Thanks alot
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…