Joackim Joseph Member Feb 24, 2017 75 35 May 17, 2017 #1 Habari ndugu kama kuna mtu anauza line ya safaricom tuwasiliane au anafahami zinapopatikana hapa mwanza. Natanguliza shukrani.
Habari ndugu kama kuna mtu anauza line ya safaricom tuwasiliane au anafahami zinapopatikana hapa mwanza. Natanguliza shukrani.
Jitu jeusi JF-Expert Member Oct 18, 2015 1,709 2,373 Nov 18, 2017 #3 Nenda kwa maduka yao ambayo yapo karibu na wewe
M Masikini mjanja JF-Expert Member Oct 13, 2017 232 379 Nov 18, 2017 #4 Kupata laini ya safaricom lazima uwe na passport. huwez sajiriwa kama huna passport
B babula New Member Dec 29, 2018 2 0 Dec 31, 2018 #5 Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika TZ - JamiiForums Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika TZ Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika TZ - JamiiForums Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika TZ Sent using Jamii Forums mobile app