Cheti cha udereva ninacho ila leseni ndo sinagaUtaratibu umekuwa mgumu kama hufuati utaratibu mimi nimejitahidi kufuata njia za panya nimeona itanipa shida huko mbele nimeamua kesho niingie darasa la driving mwezi ujao niwe na leseni yangu isiyo na magumashi naweza kupata mchongo huko mbele nikajikuta nipo nje ya fursa.. pitia shule kwanza kama hujawahi kwenda school driving ukitoka huko mambo ni mepesi sana kuliko janja janja
Kwa nini mnapenda mkato mkato kama una cheti si uende huko Trafiki ya mkoa wako wakusainishe ili uende kulipia TRA vitu vya kufata utaratibu ni vizuri hasa mambo ya Leseni au Passport ipo siku utaambiwa hii ya vichochoroni kumbe kila kitu unacho...Cheti cha udereva ninacho ila leseni ndo sinaga
Nipe maelkezo naanzia wapi na na shngap na itachukua walau siku ngapi ?Kwa nini mnapenda mkato mkato kama una cheti si uende huko Trafiki ya mkoa wako wakusainishe ili uende kulipia TRA vitu vya kufata utaratibu ni vizuri hasa mambo ya Leseni au Passport ipo siku utaambiwa hii ya vichochoroni kumbe kila kitu unacho...
kama unacho nenda nacho TRA yoyote watakupa utaratibu simple tu ndani ya wiki unapata leseni yako, usipite njia za panyaCheti cha udereva ninacho ila leseni ndo sinaga
Nenda Ofisi ya RTO ya mkoa uliopo ndio kazi yao hiyo kasoro J2 tu...ila ulipata cheti hawakuelejeza sehemu ya kuanzia any way ukitoka hapo watakwambia ukalipie TRA ila baada ya Polisi kuridhika kwa kuangalia chuo ulichosoma kama una cheti cha Mtaani usiende utaanza kutafuta njia ya kutoka hapo...Nipe maelkezo naanzia wapi na na shngap na itachukua walau siku ngapi ?
Maana cheti nnacho tangu 2017