Siku hizi laptop ni nyingi na wauzaji ni wengi hivyo unatakiwa pia uwe makini unaponunua, mimi ninavyoelewa charge siyo sifa pekee ya laptop nzuri! Check na wataalam wa IT wakupe specifications za laptop nzuri ambayo utatumia kama checklist yako unapofanya maamuzi wakati wa kununua
kuna dell latitude d620 ina wifi, bluetooth, dvd rom, internal mobile phone, sc card reader, ram 1gb, hdd 80, charge 0130hrs, window 7 32bits bei shs 380,000