Nahitaji laptop

Nahitaji laptop

CABANA

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
422
Reaction score
557
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji laptop nzuri yenye kufanya kazi vizuri....
tuma details zako..
Nina 200K...nyongeza tunaweza ongea.
 
warahishie wauzaji baadhi ya sifa za pc unayoitaka hasa hdd, ram, ukubwa wa kioo nk. weka mawasiliano yako na ulipo
 
Apo subiria mkweche wa kufa
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji laptop nzuri yenye kufanya kazi vizuri....
tuma details zako..
Nina 200K...nyongeza tunaweza ongea.
 
Weka namba yako tuwasiliane au nitafute PM
Dell Inspiron n5010
core i3
6gb ram
500gb HD
4hrs battery

bei 300000/=

Toshiba MIN Laptop
Inter atom
2gb Ddr 3
80gb
3hrs battery

Bei tzs 135000/=
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom