Mparee2 JF-Expert Member Joined Sep 2, 2012 Posts 3,290 Reaction score 5,765 Oct 20, 2015 #1 Nahitaji used Laptop ya bei poa kwa ajili ya kazi za kawaida Iwe ina kaa na charge around 3hrs na kuendelea- kwa sababu ya huu mgawo Iwe na Ram above 1gb na Storage ya angalau 250gb na kuendelea Screen display iwe kubwa 14.5 to 15.5inch Kama hufaham hivyo vitu wewe sema tu kama unayo tutawasiliana Mimi nipo Arusha
Nahitaji used Laptop ya bei poa kwa ajili ya kazi za kawaida Iwe ina kaa na charge around 3hrs na kuendelea- kwa sababu ya huu mgawo Iwe na Ram above 1gb na Storage ya angalau 250gb na kuendelea Screen display iwe kubwa 14.5 to 15.5inch Kama hufaham hivyo vitu wewe sema tu kama unayo tutawasiliana Mimi nipo Arusha