Habari wakuu, nahitaji laptop kwa anaeuza yenye specification zifuatazo hard disc 500gb, 4 ram, processor core i3. Bajeti yangu ni laki 4. Kwa aliyenayo naomba anicheki nipo mwanza. 0752425604
Waswahili bwana..! mtu katoa mahitaji yake juu aina ya laptop anayo ihitaji, sasa haya ya mimi ninayo hii au ile ya nini wakati haiendani na dhumuni la muhitaji.?! kama huna anayo ihitaji si bora kukaa kimya.