New or used?Laptop yenye specs zifuatazo inahitajika
Ram 4gb
Hard disk kuanzia 150gb na kuendelea
Processor core 5 na kuendelea
Vile vile na kwa mwenye desktop yenye ivyo vigezo karibu nahiitaji pia nijulishe apa ili tuweze kufanya biashara kama unayo nipm tu au nichek kwenye watsap no yangu ni 0621840335
Sent using Jamii Forums mobile app
Sor nilisahau kuandika used siyo mpya ninahitaji used kama unayo tufanye biashara zaidi napendelea hp zot laptop na desktop kama unazo nichek pm ama watsap no 0621840335New or used?
Sor nilisahau kuandika used siyo mpya ninahitaji used kama unayo tufanye biashara zaidi napendelea hp zot laptop na desktop kama unazo nichek pm ama watsap no 0621840335
Sent using Jamii Forums mobile app
Renovo?Mimi ninayo laptop Renovo iko poa sana hdd500 na Ram ya 2.
Kama unataka sema tuongee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Renovo ni aina mpya ya laptop imeingia sokoni, ni nzuri na rahisi kutumia. Bei take ni chini kidogo kuliko HP na Dell. Tofauti ya bei ni kama laki mojaRenovo?
AiseeRenovo ni aina mpya ya laptop imeingia sokoni, ni nzuri na rahisi kutumia. Bei take ni chini kidogo kuliko HP na Dell. Tofauti ya bei ni kama laki moja
YesAisee
Tofauti yake na Lenovo ni nini?
R na L kwa wabantu sio inshu sanaTofauti yake na Lenovo ni nini?
Watu wanawekeza fedha nyingi kutengeneza brand name huwez kuharibu eti kisa mmbantu lazma hatua kali za kinidham[emoji2][emoji2][emoji2]R na L kwa wabantu sio inshu sana
Ko tofauti ya R na l ndo inakufanya ujifanye kama huelewi?Tofauti yake na Lenovo ni nini?
Hahahaaaaa, sina hofu, nikiitwa kuhojiwa, utafungua kesi kuzuia nisihojiwe alaf shauri likikataliwa, nitafanya press conference kutangaza kukubali kuhojiwa, usihofu. Pale Kariakoo ukisema "Renovo" au Lenovo, utapata laptop, pesa yako tu hawajali matamshiWatu wanawekeza fedha nyingi kutengeneza brand name huwez kuharibu eti kisa mmbantu lazma hatua kali za kinidham[emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutetea upuuzi mkuu. R sio L na L sio R na Renovo sio Lenovo.Ko tofauti ya R na l ndo inakufanya ujifanye kama huelewi?
Kitogautisha r na l ni changamoto ambayo asilimia kubwa tunayo wengine ni kutokana na chimbuko lao.
Siku nyingine uwe unajaribu kukosoa kitu ambacho hata watu wengine wataona unajua mambo siyo kufanya watu wakushangae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka mawasiliano ama wewe ndo msomali mwenyewe?Ushauri wa bure, usinunue used kwa MTU,maana hiyo itakuwa Used in Europe, Used in America, used in Arabia then used in Africa. Nenda Kariakoo mtaa wa Congo, kanunue Used kwa Wasomali, ni nzima nzuri, cheap and affordable. Kama upo Mbaali, pm nikutumie mzigo. N
Ushauri wa bure, usinunue used kwa MTU,maana hiyo itakuwa Used in Europe, Used in America, used in Arabia then used in Africa. Nenda Kariakoo mtaa wa Congo, kanunue Used kwa Wasomali, ni nzima nzuri, cheap and affordable. Kama upo Mbaali, pm nikutumie mzigo. N
Naomba mawasiliano yako bossUshauri wa bure, usinunue used kwa MTU,maana hiyo itakuwa Used in Europe, Used in America, used in Arabia then used in Africa. Nenda Kariakoo mtaa wa Congo, kanunue Used kwa Wasomali, ni nzima nzuri, cheap and affordable. Kama upo Mbaali, pm nikutumie mzigo. N
Jaribu kwa huyo mgonjwa mkishindana ni pm