Wadau Habari za wikiend na poleni na misukosuko ya maisha,
Ninahitaji laptop nzuri aina ya DELL yenye specification angalau hizi
HDD kuanzia 500GB
RAM 3-4 GB
Processor 5i
Na vingine kama kuna Mtu ana duka ama anafahamu duka zuri aniambie ipi inapatikana na kwa bei gani au anipm